Toggle navigation
TWunroll
TWunroll
faq
Contact US
Kuduishe Kisowile
Kudu_ze_Kudu
BARUA KWA BINTI WA #UZI#PARTONE Binti,Salaam zikufikie pale ulipo kama upepo uvumavyo kutoka baharini kwenda nchi kavu. Natumaini hujambo. Mimi sijambo.Kila siku nakuwaza sana. Nafikiria nifanyeje kugusa maisha yako.Kabla
Read more
Natazama nyuma, mawazo yangu yanagota mwaka 2010, nikiwa mwanafunzi wa kidato cha pili.Ni mchana baada ya chakula, hakuna mwalimu darasani, natoka naketi pembezoni mwa darasa na daftari langu la Kemia
Read more
By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our
Cookie Policy
to improve your experience.
I agree