Ukiwa tu umechill unangoja mpango alafu beshte yako atoe mzinga
Kiherehere iwaambie mfungue hiyo mzinga mwanze kuchapa shots
Zako zikushow ubuy beer uchase nayo hizo shots
Story zimeshika uskie amepiga order ya nyama
Zako zinadai ata huna time ya kungoja watu unaanza kuchapa shots peke yako
Unajiona mjanja ati unakunywa maji after every shot knowing you’ll not get fucked up
“Who wants tequila shots” moment
After taking one shot of tequila
Ukiskia fala amesema “mwekee shots zingine”
Unaona ukunywe soda nikama maji haileti shangwe
Unaskia msee amesema “ongeza shots tatu tatu za jager bomb”
Now you just there wondering what kind of friends are these and all the wrong choices you made
Ghafla unacheki msee wa nyama ameleta maji ya kuosha mkono
Punde si punde order ya nyama imekam through mnajibonda nikama hakuna kesho at least pombe zishuke
Kushiba + kulewa usiku iko set Dj naye haachi mtulie “dance imeshika hadi mashinani”
Unasignal beshte yako akuweke shot urecharge
Dance floor kuko lit unacheki left right mahaga zinarombosa unacheki mbele yako ule dame mlicome nayeye anakutingishia
Kucheki kwa meza manugu zimeongeza mzinga mbili na we uliitisha shot tu
“Chapa shots buda chapa shots”
One two shots unaskia mwaura inakuja express
You can no longer hold puke in inabaki utapike hadi zile nyama zote ulikula
Mraia zinakuuliza ka uko poa kunywa tena and you looking at them like...
2 minutes later ushajisunda kwa kakiti unazimia mdogo mdogo
Following morning you wake up swearing never to drink again ~ The End
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.