Btw Kunakuaga na some nice Kenya music za Kukashifu matendo mbaya za Gava na Kuitisha good governance. Mainstream Media ilikataa tu kuziplay.
The songs , most ni more than 3 years old but their message bado ukua relevant.
Acha nimake thread kiasi yao plus their youtube links

First
Sheria by Sarabi band Ft Juliani
Hii ngoma uongea tu ukweli
From "Nalipa tax, na hata siwezi afford kupanda taxi" ukiangalia kwanza vile Tax imeongezwe plus the video was top notch
Alafu kitu ingine also says how wananchi misbehave

2. Nitabaki na nini
Sarabi, Juliani, Hart The Band, Teardrops,Gachago and Berry
Inasema hao Politicians Wakiiba na waue watu sisi wananchi tutabaki na nini bana

Tumechoka - Sarabi, Mufasa, Teardrops, Majimaji and Juliani
"I wonder ka Turkana kuna bar,..... ni moja na ni baa la Njaa"
Mufasa's line "Mr minister, stealing money to make a 5 star, You would be a start by making a cancer facility"

System ya Majambazi - Mashifta
Hii hata haitaki ata Kuongezea kitu
Hii hata haitaki ata Kuongezea kitu
WanasiaSa - Kitu Sewer Ft Frank Mteule
Jiskizie tu
Jiskizie tu
Mr Politician - Virusi Mbaya ft Red acapella
This Spoken word Piece that made Virusi a Slam Poetry King inagusia tu vile Kenya ni mashida ziko from Judiciary to Politicians kutupee 50 bob siku za campaings