Usafiri Anga
Lazima tubadilike. Uwekezaji kwa Air Tanzania lazima upunguze kadhia tunazopata kwa kufungua njia kwenda nchi zote muhimu kiuchumi na kibiashara

SimbaSC inaenda Kinshasa, DRCongo lakini inazungukia Addis Ababa, Ethiopia na Ethiopian. Kwa nini?
Visingizio vya ruti hazina faida ni upuuzi. Tengeneza hub ya Air Tanzania hapa JNIA kwa kuwa na ruti kwenda nchi zote za Afrika. Fungua nchi. Kama tunavyotumia Ethiopian na KQ abiria wengi watatumia Air Tanzania

Anza taratibu. AddisAbaba haikua ktk masaa 24
Kisaikolojia, kupelekwa na kurudishwa na shirika lenu la ndege kwenye mashindano huko nje huwapa morali sana wanamichezo wetu. Ni fahari kubwa

Tunaitaka hiyo

Its useless to invest in long haul planes then you are not flying them to serve your people!

Imho
You can follow @Adambrv.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.