COUSINS AT USHAGO
THREAD ⟩⟩⟩⟩⟩⟩⟩⟩⟩⟩⟩
Ni Christmas ukienda ushago unaambia mbogi ya Nairobi bye
Unafika unapata guks na family bado wako fine
Unapata ule cuzo yako ameokoka ni bible tu anasoma
Unakaa unashangaa nani sa atatoa fom na vile kacuzo hulalisha
Unaenda unauliza kale kacuzo kako kwani bro yake Rao hajafika
Kiasi kiasi anafika unafurahi
Rao si tushikishe lakini ni chini ya maji ule cuzo wetu Ruto asijue
Unapigia pedi wa ushago ju mali yake hukuwa safi
Nayo nayo mko kwa mat mkienda kwa local pub
After a 10 minutes drive mnafika pale baze
Unaingia kwa pub kisnipper Vile umezoea kuingia pale kibandaski
Aaah unapata mamorio ni Jug Daniels tu
Unauliza mama pima kikombe kubwa ni ngapi anakuambia ni 50
Nayo nayo unateremsha moja ya kutoa lock
Unajiseti kwa bench ndio sasa uanze kuitisha moja moja
Kidogo kidogo unashangaa cuzo yako Rao amepotelea wapi kumbe fom ilishajipa
Ju ww huna kadame unaanza kubishana na kamtu fulani hapo ka Chelsea
Kidogo kidogo unaspot kadame fulani kakiwa kwa dance floor na beshte yake
Unaingia dance floor kiujanja ndio uone ka fom itajipa
Beshte yake anacheza kiyeye anajitoa mnabaki kwa dance floor na yeye
Kadame kanaingia box ata mnaanza kuzikwenda kistaarabu
Unaanza kumtolea jokes kali kali kumbe ni ile mali ya pedi inatuma uangushe mistari kali hivyo
Kiasi kiasi cuzo yako Rao anakuita kando anakuambia mjikate masaa ya curfew inafika
Inabidi upige kale kadame hug ukaambie bye
Mnafika mtaani usiku mnapanga ww ndio utaenda kuchocha guks ju yy hukuamini
"Guks tumerudi, tulikuwa kwa kina mama Njoroge na amekusalimia sana"
Cuzo yako Rao hajaamini ati guks ameingia box
Mnapiga handshake ju ya Vile hio fom ilijipa, mnaenda kulala.
THE END
Retweet and Like

Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.