#1
RETINOBLASTOMA: KANSA HATARI YA MACHO KWA WATOTO.
° Ni kansa hatari sana inayoanzia kwenye sehemu ya hicho iitwayo RETINA
° Ni kansa inayowapata zaidi watoto wa chini ya miaka mitano
° Huathiri wastani ya watoto 11 kwa kila watoto milioni 1 wenye umri wa miaka 5.
#UZI

#2
°Dalili ya awali ya kansa hii ni mtoto kuwa na kitu CHEUPE jichoni kinachong'aa hasa wakati wa giza (tazama pichani).Jicho moja au yote yanaweza kuathirika
°Watoto wengi hupelekwa hospitali katika hatua mbaya,kwani wanakuwa hawajua kuwa mtoto
wao ana tatizo la kansa ya jicho.

#3
°Kansa hiyo katika hatua za mwisho huweza kuanza kukua na kuonekana kana uvimbe au kidonda kwenye sehemu ya jicho (tazama pichani).
° Baadae huanza kumpa maumivu makali mtoto. Isipogundulika mapema huweza kusambaa sehemu zingine kama kwenye UBONGO n.k

#4
° Kitu kizuri na kushukuru Mungu ni kuwa katika hatua za awali kansa hii huweza kutibika inategemeana na ukubwa wa uvimbe wa kansa ndani ya jicho. Hivyo, ni vyema kuwakagua watoto macho yao na ukiona dalili hiyo au uvimbe usiouelewa mfikishe haraka kwa mtaalamu wa MACHO.

Nimeamua kutoa elimu hii kusaidia jamii ifahamu dalili za awali za kansa hii.
TAFADHALI RETWEET ILI WAZAZI WENGI WAFAHAMU NA KUWAFIKISHA WATOTO MAPEMA HOSPITALINI.
IMEANDALIWA NA;
@drmlalukoMD na @jukwaalaafya
RETWEET
@Chahali @Vet_doctor87 @JudithKilewo_ @TOTMedics2020