.
Kama umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwa kila mteja anaekuja Kuulizia bidhaa/huduma yako aidha ni Mtandaoni au nje ya mtandao...basi Hiki ndicho kisababishi cha wengi kukosa mauzo
.
[UZI MFUPI]....

Kwanza kabisa Kama unauza bidhaa au huduma Unatakiwa kujua kwamba hakuna mtu anaependa Kuuziwa, ila kila mtu anapenda Kununua
.
Wateja hawapendi Kununua vitu kutoka kwa wauzaji bali wanapenda kununua vitu kutoka kwa washauri
.
Kitu cha kwanza kabisa

Unachotakiwa kuweka akilini unapouza chochote ni kumfanya mteja Ajihisi yupo kwa dakitari na sio kwa muuzaji
.
Unajisikia umeenda hospitali baada tu ya kumuona Dakitari akakwambia tumia dawa Hii hapa bila ya kusikia chochote kutoka kwako?
.
Obvious lazima

Utaingiwa na Hofu
.
Na Hivyo ndivyo wauzaji wengi wa bidhaa/huduma wanavyouza kwa wateja wao baada tu ya kuwatafuta
.
Wauzaji wengi huanza kuongea kuhusu bidhaa/huduma zao bila ya kusikia chochote kutoka kwa Mteja
.
Swali ni je....
.
Utajuaje kama mteja

Ana uhitaji wa kile unachokiuza bila ya kusikia chochote kutoka kwake?
.
Utajuaje kama ana tatizo ambalo bidhaa/huduma yako inatatua?
.
Mentor wangu alinambia “Don’t Sell, just Diagnose”
.
Kuuza sio kuongea sana ni kuuliza maswali sahihi yatakayomfanya mteja

Ajiuzie bidhaa yako mwenyewe
.
Sahau Vyote ila sio hiki hapa...
.
“Wateja Hawanunui bidhaa yako kwasababu wameielewa, Wananunua kwasababu wamehisi wameeleweka kwa muuzaji”
.
Na hiyo ndio sababu kubwa ya wauzaji wengi kukutana na vipingamizi vya wateja..

Pindi wanapouza bidhaa zao
.
Majibu kama....
.
Bei yako Kubwa sana
.
Nitakutafuta nikipata hela
.
Ngoja kwanza niongee na mke/mme wangu nk
.
Na kitu kingine cha kujua ni kwamba wateja Hudanganya usiamini kila Jibu analokupa
.
Je ni SIRI Ipi Sahihi ya Kuuza?

Wauzaji wengi huruka hatua nyingi pindi wanapouza bidhaa kwa wateja wao
.
Kuna hatua kuu 3 unazotakiwa kuzifuata pindi unapouza chochote bila kuruka hata hatua moja
.
Ukifanya hivyo utajiongezea uwezekano wa kuuza bidhaa yako kwa zaidi ya 99%...

Hizi Ndizo Hatua Kuu 3 Za Kuuza Chochote Bila Kukutana na Kipingamizi Chochote Cha Wateja

.
. Agenda Step
.
Hii ni hatua ya kwanza kabisa pindi unapouza chochote Unatakiwa utawale mazungumzo kati yako na mteja wako
.
Kwasababu anaeuliza maswali ndie

Atakaeamua manunuzi
.
Usifanye chochote kabla ya kuseti Ajenda na mteja wako na hili ni kosa la wengi wanapouza bidhaa
.
Tumia Script Hii hapa chini
.
“(Jina lake), Kabla ya kukwambia chochote kuhusu bidhaa/huduma yangu ningependa kukuuliza maswali kadhaa

Ili nijue kama itakuwa ni bidhaa sahihi kwako, Je hiyo Itakuwa sawa kwa upande wako?”
.
Akisha sema Ndio tayari itakuwa in control na utakuwa umeshapata attention yake kwa 100%
.
Hapo tayari utakuwa umeshaseti ajenda kwahiyo ni ruksa kuingia hatua ya pili..

Ambayo inaitwa ...
.
. Qualifying Step
.
Katika hatua Hii Unatakiwa kuuliza maswali ambayo yatalenga kujua vitu hivi hapa kutoka kwa mteja wako..
.
1). Mahitaji yake/Tatizo lake
.
2). Pesa
.
3). Mfanya maamuzi
.
4). Muda

Je ana tatizo au mahitaji ambayo bidhaa au huduma yako inatatua?
.
Ana Pesa za Kununua bidhaa yako au mpoteza Muda?
.
Yeye ndiye mfanya maamuzi ya mwisho au Kuna mwingine juu yake?
.
Je yupo tayari Kununua sasahivi au siku nyingine?
.
Lazima ujue Vyote hivyo

Ukishapata hizo taarifa sasa ni ruksa kupresent bidhaa/huduma yako kama solution ya tatizo lake au uhitaji wake
.
Usiongee chochote kuhusu bidhaa/huduma yako kama hujapata hizo taarifa za mteja wako
.
Elezea bidhaa yako kwa kugusa vile alivyokwambia ana

Ana uhitaji navyo ili usiingie kwenye mtego unaoitwa “OVERSELLING”
.
Baada ya kuielezea bidhaa yako kama solution pekee ya tatizo lake
.
Ingia kwenye hatua ya mwisho na muhimu ambayo wengi uhisahau inayoitwa

Katika hatua hii unachotakiwa kufanya kufanya ni kuuliza swali moja tu kati ya haya Hapa...
.
1). Tunaingia hatua gani baada ya Hapa?
.
2). Ungependa kufanya nini baada ya Hapa?
.
Hii inaitwa “Asking for the order”
.
P. S. RETWEET!