Fursa 4 na Bajeti zake ambazo Ukiwa na Capital ya 1.5Million, huwezi Kulala NJAA! | AGIZA POPCORN🍿, IT IS THREAD TIME⌚️
Ni ukweli Usiopingika Tanzania ya sasa vijana wapo kwenye ‘Msongo’ mkubwa wa mawazo. Ni kama Serikali imewatenga hivi, Jamii inawaona hawana maana. Yani mambo ni Tafrani!
1. Ni wapi watapata Pesa?
2. Wapi watapata Ajira?
3. Vp Watatoka vp kwenye Dimbwi la Umasikini?

These questions are like a Missing Piece of a Puzzle. - Nimewaandalia fursa 4 ambazo ukiwa na muda na juhudi na ukiwa na shauku ya kujifunza unaweza usikose elf 20 au zaidi per day.
FURSA ZANGU 4 ZA KIBABE.

Kwanza lazima tukubaliane kwa sasa dunia ipo kwenye trend ya technology. So lazima tuweze ku-capitalise kwenye hii trend iliyopo tuweze kujipatia kipato. Hizi Fursa zangu 90% zinategemea teknolojia, na mitandao. Tuone hizo Fursa👇🏾
Videography & Editing

1 ya hot skills kwa sasa ni Videography & Editing. Kampuni nyingi na watu binafsi wanahitaji contents ziwe recorded kwa ufundi sana, zivutie. Ukiwa na huu ujuzi, Michongo ni Nje nje! ni ngumu kulala Njaa. Sasa ili uwe mkali wa hii kazi unatakiwa kuwa na 👇🏾
Camera ya kuanzia aina ya Canon 650D yenye lens ya 18-55mm, Bei 850k, Average Laptop bei - 450k.
Training. 100,000, Bundle 100k,
nimeweka pesa ya training cos utahitaji mtu akupe ujuzi, au uanze kujifunza mwenyewe kupitia youtube. Utachagua! Total cost hapo ni 1.5m.
Graphics & Designing.

Graphics soko lake ni rahisi kupata. Kuna Digital agencies, kuna online platforms kma http://gigspace.co.tz  ( @mafolebaraka ) ambazo unaweza kuuza ujuzi wako, kuna Companies na individuals wanahitaji Branding. Ili uwe Graphics Designer mzuri unahitaji👇🏾
1. Uwe Mbunifu by nature. Kama @msofe255
2. Uwe na Laptop (500k), Camera 850k (sio lazima sana), 200k ya Mentor.
3. Kama hauna 200k, jifunze kupitia Youtube, hapa utahitaji uwekeze muda mwingi ili uwe vizuri.
Huu ujuzi pia ukiwa na ‘Catchy Ideas’ ni rahisi ww kuwa ‘Hot Cake’.
Uuzaji wa Jezi za Mpira kwa Rejareja.

Si unaona hizi Jezi nyingi zinazovaliwa hapa Bongo. Jezi za Man United, Chelsea, Liverpool n.k 97% ya jezi zinatokea China. Hii business ukiweza kupush sales kuna pesa Tamu😋. Ngumu kulala Njaa. Budget👇🏾
Budget: Jezi 1 mpaka ifike bongo kutoka China cost ni 9,500. Ukiagiza pisi 165 za jezi, cost ya mzigo ni 1.5m.

Bongo jezi 1 huuzwa 25k. Ukitoa gharama ya mzigo wa jezi 165, kwa kila jezi kuna faida ya 15,500Tzs. So kwa jezi 165, unakua na uhakika wa Faida ya 2.5m. Clean Money!
Forex Trading.

Achana na kelele unazosikia mtandaoni. Hii ni business ambayo mm naifanya. Naijua utamu wake nje ndani. Forex ina pesa Tamu mno. Ila Uchawi wa Forex unahitaji mwaka mzima ku-master, endapo tu, Utafuata Principles zake na ukiwa disciplined. Unatoboa Chap. Budget👇🏾
Fx Trading, ni bizness inayohusisha uuzaji na ununuaji wa sarafu za pesa za kigeni mtandaoni. Ili uweze forex, lazima uwe na SKILLS kwanza.

Budget:
Training 250,000 ( 1 Month Training)
Lifetime Mentorship: 200,000
Laptop/Smartphone: 450,000
Initial capital: 300$
Total: 1.5m
Lakini, Nikukumbushe, Hakuna biashara ambayo pesa inakuja kirahisi, Biashara ambazo nimekuwekea hapo ni ngumu kulala njaa, once ukijua zinafanyikaje, na utapataje wateja. AKILI KUMKICHWA! - Hizo biashara ili zifanikiwe zinahitaji mambo yafuatayo👇🏾
Commitment
Ubunifu
Discipline ya Pesa
Consistency
Focus + Perseverance.

Je ni ngumu, HAPANA!
Je inawezekana, NDIO!

Happy New Year 2021. Cheers🥂

Thread From, Your Consistent Hustler, ERIC DONALD©️2021.

Cc: @GIVENALITY @Sirjeff_D @GillsaInt @amani_martintz @NyandaAmosi
You can follow @erickdonard.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.