UZI [ THREAD ]

◾️Kuna mtu aliniuliza ni kwa nini mataifa mengi makubwa Duniani yanaogopa sana China kumiliki mitambo ya 5G ?

Leo tuangalie kiundani zaidi hii vita ya Tekinolojia

Kabla ya kwenda kwenye majibu, tuangalie kwa ufupi 5G ikoje

Speed ya 5G ni mara 100 zaidi ya 4G
Yaani unaweza Kudownload movie yako yenye ukubwa wa 5GB ndani ya sekunde kadhaa

5G iko faster zaidi katika ku-transer data volume kuliko 4G, lakini watu wengi hawaelewi neno "faster" linaweza kuwa na impact kubwa kwenye ulimwengu wa digitali

Kwa 5G hakuna haja ya Kudownload
Movies and games, unaweza ku-stream movies au kucheza games online bila tatizo lolote

Kabla ya kujibu swali, tuone
Je ni nani hasa anaogopa sana China kumiliki 5G, hapa jibu ni Marekani na washirika wake

US wanatengeneza pesa nyingi sana kupitia Tekinolojia waliyonayo
Kuna njia kadhaa, tuangalie chache muhimu

◾️Technological Patents [ Hatimiliki ]

Hii inajieleza yenyewe, unabuni kitu kipya unakiwekea hati miliki ili mtu akitaka kukitumia analipia, kama hataki anaacha

Point kubwa ni kwamba hawa jamaa wanaweka hatimiliki ya kila
Teknolojia waliyonayo iwe kubwa au ndogo kitu ambacho kinaweka ugumu/pingamizi kwa mataifa mengi na wataalamu kuendeleza Tekinolojia yao. yaani wanataka kila mtu aguswe au atumie chao wamarekani either directly or indirectly, ukitaka kuendeleza Tekinolojia yao inabidi ulipe
na wanalipisha pesa nyingi MNO

Takribani 70% ya Tekinolojia inayotumika Duniani wanamiliki wao either softwares au hardware

Intel, Microsoft, Google, Facebook, IBM, Apple, twitter, Qualcomm hizo zote ni zao

Ndiyo maana wanaogopa sana China kumiliki 5G maana atawazidi pakubwa
◾️Warring/vita

Hawa US wananufaika sana na vita na hilo halifichiki yaani wana-involve kwenye kila vita Duniani either directly or indirectly

kivipi wanatengeneza pesa nyingi kama wao hawapigani ?

Jibu ni "Wanauza vifaa vya kivita"

Je kama hakuna vita?
Wao wanaweza kutengeneza vita

Kivipi wanaweza kutengeneza vita?

Mfano 1

Wao: Hey bro nataka ninunue mafuta kwako

Mimi: Sawa, nitakuuzia $10 kwa dumu moja

Wao: Hapana, nitanunua kwa cent 2 na nataka uweke kipande cha dhahabu kwa kila dumu

Mimi: Toka hapa hiyo siyo biashara
Wao: wanatangaza kuwa wewe ni hatari sana na unamiliki mabomu, na kwa sababu wananguvu Duniani kila mtu atawasikiliza

Mimi: imekuaje tena???

Wao: tulikwambia tufanye deal ukakataa sasa utachukuliwa kama gaidi, mafuta na dhabadu tutachukua bure
Mfano 2

Mfano unaanzia kwenye familia ya ndugu wawili Jack na Ben na Baba yao na nina ukaribu nao mzuri, nafikiri namna ya kupata faida kutoka kwao

Siku moja nikamfata baba yao na kumshauri anunue Toy moja kwa wote wawili, ilihali najua watapigania hiyo toy
Ikatokea siku moja Jack na Ben wakaanza kugombia hiyo Toy aliyonunua Baba yao na kila mtu Hataki kushindwa,

Mimi nikamfata Ben: unatakiwa kuipata Toy maana wewe ndiyo unapendwa zaidi, kwanini usinunue Gun kutoka kwangu ili umshoot Jack

Nikaenda kwa Jack nikamwambia the same
Automatically hawa Jack na Ben watakuja kununua Guns na Bullets/risasi kwangu na ugomvi wao utadumu kwa mda mrefu sana, mpaka nitakapoona wamekuwa masikini

Nimechukua hela zao zote na wao wamekuwa maskini ingawa niliwachonganisha mwenyewe

That's how they make a lot of money
◾️Turudi kwenye majibu ya swali letu "Kwanini mataifa mengi makubwa yanaogopa China kumiliki mitambo ya 5G

Kuna points kuu mbili

1: MABADILIKO YA TEKINOLOJIA

China wanamiliki 5G na bado wanatest mitambo ya 6G, kwa kutumia 5G vitu vingi vinabadilika na hatimiliki zao zitakuwa
hazina maana tena.

Kwa kutumia full developed 5G Hakuna sababu ya kutumia PC, yes person computer yenye motherboard, processor, graphics card etc, kila mtu atatumia supercomputer

Kwa kutumia 5G, supercomputer moja inaweza kutumiwa na mamillion ya watu
Mtu atahitaji kuwa na screen, transmitter na receiver na pengine ports za keyboard, mouse etc

Taarifa na files zako zitatuzwa na kuwa processed na supercomputer zilizo mbali na wewe [ shared supercomputers ] na uzuri wireless iko faster kuliko cable connection
Yaani processor na drive ziko mbali ila una uwezo wa ku-acess taarifa zako ndani ya sekunde

Taifa linalo-control technological trends ndilo litakuwa na nguvu kubwa Duniani na soko la Dunia kwa ujumla

Hapo teknologia ya Marekani itaanza kupotea na hatimiliki zao zitakuwa useless
Point 2: Military [ Jeshi ]

Hii ndiyo point kubwa mno, China ikianza ku-apply 5G kwenye majeshi yake itawazidi mbali sana wapinzani wake ambao actually ni US wenye jeshi imara Duniani

Impossible tasks ambazo zilishindikana kipindi cha nyuma na kwa kutumia 5G
Zitawezekana, just imagine hapo hakuna kupeleka wanajeshi vitani yaani with 5G unapeleka smart devices tu na kutakuwa na faster data transmission, so kutakuwa na immediately commands

Hapo unasave manpower ya kutosha, wanajeshi wako kwa ofisi nyie mnapigana na ROBOTS
You can follow @TOTTechs.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.