Utamtambua vipi Nabii wa Uongo? #UZI
~Yesu kabla ya kuondoka alisema watatokea Makristo na manabii wa uongo watakaokuja kwa sura za kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali.
~Hakumaanisha tu manabii, bali waimbaji, waalimu, mitume, wachungaji nk.
~Aliendelea kusisitiza kuwa....

watawadanganya hadi baadhi ya wateule(watu wa Mungu) hivyo usifikiri kumtambua nabii wa uongo ni kirahisi tu. Mathayo 24:23-27, 2Petro 3:3
Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
2 Korinto. 11:14"
~Leo hii manabii na watumishi wa...

2 Korinto. 11:14"
~Leo hii manabii na watumishi wa...

uongo wamejaa kila kona huku wakiteka watu na kuwavuta kwa shetani bila watu wa Mungu kujua.
~Sasa utamtambuaje kwamba huyu ni Nabii/mtumishi wa uongo?
Mathayo 7:16
Mtawatambua kwa matunda yao.
~Matunda hayo ni yapi?
Kwanza inapaswa utambue matunda mema ili uweze...

Kutofautisha na matunda mabaya ambayo Yesu alisema tutawatambua kwayo.
Matunda mema yanapatikana; Wagalatia 5:22
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Sifa za Manabii wa..
Matunda mema yanapatikana; Wagalatia 5:22

Sifa za Manabii wa..

UONGO.
1. Wanahubiri Injili ya Utoaji sana; (Wanapenda fedha)
~Hawa hela kwao ni chaguo la kwanza, ndio ile unasikia kumuona mtumishi hela, kukuombea hela. Waimbaji hivyo hivyo, wao hakuna cha kazi ya Mungu, ukiwahitaji hela. Wahubiri utakuta wakihubiri kutoa sadaka. Ni...

muhimu kweli kutoa sadaka, ili kazi ya BWANA isonge mbele, ila ukiona mtu kakazia tu hapo. Kimbia.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo;
-Ebrania. 13:5b
-Mika 3:11 -2Petro 1:2 -Yuda 1:11 -2Petro 2:3 -Ezekiel 22:23
2. Wanapenda sana kujitukuza,..

kujiinua, kujisifia wao badala ya kumtukuza Kristo:
~Wanajisifu sana, na kutaka sifa zote wapewe wao. Wamejaa viburi na uongo.
2 Petro 2:1-3
Hudiriki hadi kumkana Yesu, kwa kutokumuhubiri, kumtaja au kumuimba
1 Yohana 2:22
Biblia inasema Mungu utukufu wake hatampa mtu....

mwingine. Mara nyingi huwa na roho ya viburi, majivuno na tamaa kali.
Ole wao! Kwa sababu walikwenda katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu pasipo kujizuia, kwa ajili ya ujira, nao wameangamia katika maasi ya Kora.
"Yuda. 1:11"
~Kaini alikua na kiburi hadi...

"Yuda. 1:11"
~Kaini alikua na kiburi hadi...

mbele za Mungu.
~Balaamu alikua na tamaa kali ya fedha hadi kutaka kulaani watu wa Mungu kwaajili ya hela.
~Kora alikua na majivuno na kujiinua juu zaidi ya Musa.
Sifa zote hizi wanakuwa nazo hao jamaa wa uongo.
3. Huubiri, kuimba na kutabiri uongo, wakitamkia watu Amani...

Amani, hata kama hakuna amani.
Kazi yao ni kudanganya watu na kuwafanya kuwa waoga.
Yeremia 14:13-14, 28:15
4. Hutumia mda mwingi kudhihaki, kupinga na kupiga vita watumishi wa kweli na huduma zao:
Hii ikiwa ni mbinu ya wao kuonekana ni wasafi na wema sana.
Yeremia 18:18...

5. Hawafundishi watu kutubu, kuchukia, kujutia na kuacha dhambi:
Msingi wa Injili ya Kristo kwa watu wote ulimwenguni ni kuhubiria watu neno watubie dhambi zao waongoke na kuiamini kweli ili waokolewe. Wazee wa uongo hawana mda wa kufanya hivyo, hata waimbaji wao pia hawana...

Time hiyo.
6. Silaha yao kubwa ni miujiza Ishara na maajabu;
~Na hii wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sababu leo hii wakristo hawataki kusoma, kutafakari na kulijua neno, hivyo huweza kudanganyika sababu hawana neno la Kristo ndani.
Wamebaki kukimbilia miujiza, ishara na...

Maajabu, wasijue kuwa miujiza ni kama ajali tu, na siyo lazima itokee.
Shetani naye kawapa hao jamaa nguvu kubwa ya kutenda miujiza ili waweze kuteka watu vizuri.
Mathayo 24:11, 24
~Mbinu za kuwafahamu zipo nyingi, lakini kubwa zaidi Biblia inasema "na amani ya KRISTO iamue

Moyoni mwako. Kama huna amani, furaha moyoni ukimsikiliza muimbaji, mhubiri au mtumishi flani basi tambua Roho mtakatifu anakupa Alam kuwa makini.
~Shukrani sana kwa kusoma Uzi huu.
Ukikupendeza RT ufikie wengine wajifunze.
~Gusa link kusoma nyingine..
https://twitter.com/Kamigakikumbise/status/1230483051916021761?s=19