Mmiliki wa hotel (ambayo kwa sasa ni hostel) ya NGURDOTO anaweza akawa kacheza vzr sana karata zake kwa sasa ila kama hatokua makini katika ku'manage na kuendesha hiyo hestel inaweza kuwa ni kamali mbaya sana pia.

#IkoHiviBhana! Jengo lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 2000,
Watalipa 400k kila mmoja kwa mwaka. Hii inamaanza kwa mwaka itaingiza 800M. Asume atatoa 300M za ukarabati wa jengo kila mwaka na gharama nyingine za umeme na maji, hivyo atabaki na 500M. SIO PESA NDOGO! Hasa dunia ya sasa yenyr corona na Arusha yenye hotel nyingi na bora zaidi.
Ila kama hakutakua na uangalizi mzuri katika kuhakikisha wanafunzi wanazingatia utunzaji wa miondombinu na usalama wa Mali pia. Basi miaka miwili itatosha kumfanya ajute. Na namshauri katika kuhakikisha hili linakaa sawa angefata kwa asilimia zote uendeshaji wa hostel za ..
Chuo kikuu cha dodoma. Aweke wafanyakazi wa usafi wa nje na ndani ya jengo (kasoro vyumbani) na aweke katazo ya kupika na kutumia vifaa vya umeme ambavyo hatarishi kama cooker na kadharika. Lakini pia aweke mkataba ambao utakua ni rafiki katika kutunza miundombinu ya jengo.
You can follow @DeucSnox.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.