"Huu ndio ukweli wa mambo ktk maisha yetu. Popote tulipo sasa, chochote tulichonacho kwa sasa, vimetokana na maamuzi ambayo tuliyafanya uko nyuma" @Ksingle and @Sakallytz
Watu wengi wamekwama kwenye maisha yao kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati.

Ndio maana @c_kivuruga anakwambia " miaka kumi kuanzia leo, utajutia zaid mambo ambayo hukufanya zaid ya yale uliyoyafanya.
Bila ya kujali wewe ni nani, upo wapi, umetokea familia gani, umesoma au la, unao uwezo wa kufanikiwa kwa jambo lolote kama

ukiamua kwa kudhamiria na kuanza kuchukua hatua
Katika kujihakikishia mafanikio, @nyamwezi na @h3nbnjcl wanakwambia epuka maamuzi haya
1. Maamuzi ya kuchelewa kupeleka bidhaa yako sokoni
2.Maamuzi ya kusubiri wengine wakuruhusu kufanyia kazi malengo yako