Story Za Tonnie Sn 3 Ep 9 ( Happy Badday🎂🍷😂🍆🍑💦)

As much as we all don't want to accept, the pressure to fit in is real in our campuses. The word "Kuomoka" has made the situation even worse. Some of us are pulling some outrageous stunts kutuonyesha wameomoka, Skiza Story..
2018, Juja City. Usiku fulani nimetulia bedsitter, nishadishi maharagwe na chapati zangu sita polite, naskiza doba, yani sina pressure. Kidogo nikaskia knock kwa mlango, kufungua nikapata ni dem fulani alikua anaishi the same building. Dem amepiga smile ingine hapo ya pesa😊..
We were not close with her at all, so mi nikashangaa rada? Siku hizi wanaleta ata bila kuombwa nini? 😂. Dem akanichapia her birthday was on the next Friday and she wanted to invite me for the party. Akanishow bash itakua Tao, club Rumors, nisikose kutokea, alafu akijitoa..
Si kupewa nilikua nipewe, lakini hio mali haikua gwarable anyway 😁. So nikabaki nikipiga hesabu, dem mwenyewe si gwarable, ata hatujuani hivo, plus bash iko tao, hio pesa ya kuharibu ata sina, na hio Friday nilikua na gaming night na maboyz wangu,... Aah nikaconclude sitokei😂
So I had decided not to attend the party, she wouldn't get hurt anyway, it's not like we were friends right. So on that Friday, around 9PM,nikaoga vifreshi, nikapiga sweatpants na jersey juu, nikielekea kwa maboyz nikawafyeke FIFA😂. Beshte yangu fulani kwa hio building akakam..
Jamaa akaniuliza "ushaoga ata, kwani unatokea clabu na sweatpants?" 😂. Mi nikamshow hio bash ata sitokei. Jamaa akanishow niache utiaji, tena akanichapia dem mwenye bash amesema watu watokee hivo freestyle, ataprovide drinks for everybadee🍻. Heh!, molasses ya bure? 😲😲
Sisi wakenya si mnatujua tu na vitu vya bure? 😂Ni kama kurogwa. Cabron teketeke akachange, nikadunga jinare yangu baridii, jersey sikuchange, niliongeza kabuti juu😂. Majamaa wengi walikua tu hivo, mkunyata tupu, ata fare nikuchangisha walichangisha, cha muhimu mvinyo ni bure😂
Instincts za cabron wa kawaida hua ngori, mi nikaona kanaweza nuka vile majamaa wamesota hivo😂, I had 1500 with me, nikaeka soo tano kwa mfuko, alafu hio ngiri nikaeka kwa kale ka mfuko huitwa "toa ukieza", kanakuanga kwa jeans zote, mnakajua😂.So around 10PM tukachomoka kirende
Kabla tufike stage, birthday girl, akapiga tena, this time akasema mtu ata akieza kuleta manzi yake ndio poa, pombe ikoo, ala😂. Macabron wakapiga masimu, madem wakaendewa, all this time I was thinking, kwani huyo dem ni sister ya waiguru ama kunaendaje, hio pesa itatoka wapi?😲
Kulewesha mbogi ya mtu mbao plus kwa clabu is no joke, labda uwe bibi ya Jimmy Wanjigi😂. Anyway, haidhuru, macabron wakaleta madem, mimi singejaribu hio ufala, kubeba dem wako clabu si tulisema ni kama kuenda na chakala yako kwa hoteli, haigwesekani 😂. Cabron aliride solo💪
So around 10:45 PM, tukaingia Supermetro, tulijaza Supermetro mzima😂. Eventually tukafika tao, mi ata sikua najua Club Rumors iko wapi, mambo ya town niliachia wenye pesa😂. Anyway tukafika, tukajiseti, birthday girl akakam, hio time juu ya maji kama hyacinth😂, aah pombe ikoo
Akatushow tutulie aseme tuletewe molasses. So she went over to the conter, they started having a conversation, I could tell the conversation wasn't a very friendly one, lakini hio haikua shida yangu, cha muhimu pombe iletwe. Kidogo dem akakam amebeba Gilbey's moja, 😲...
At first, we thought ilikua tu ya warm up ndio sasa mvinyo iletwe, so tukasetiwa kila mtu tot yake polite, tukachapa. Morio, wacha tungoje, birthday girl hapatikani tena😂, hakuna pombe inaletwa,mawaiter wanatuangalia kama walemavu, wueh 😂. What had gone wrong? 😂..
2 hours later, nothing is happening. Majamaa wametulia ni kama wanawatch news, tena walikuja na madem, na hawana pesa, aibu tupu😂. Mi nikaamua at least nibuy kasoda ati nisikae fala, soda za clabu nazo ni kama zinakuanga zimeomoka, soda ndogo mia😲,tena majamaa wanataka tugawe😂
Hio aibu singesurvive, mi nikajitoa nikaenda across EDGE. It was during the worldcup, so all the screens were showing matches on repeat. Hio ngiri yangu nilikua nayo nikaamua ata kama sikunywangi beer, hio day ingebidi, so nikachukua beer zangu tatu nikajiseti kuwatch game.
The table next to me kulikua na debate ya which nation would win the worldcup, I'm a huge football fan, I had to jump in with my football punditry, inakuanga kama reflex fulani hivi😂. I was team France, so I had to put my point across, why I thought France would win😂..
Mzae fulani hapo akabambika na mimi sana, akanishow niwajoin, cabron na beer zake tatu akadandia. Table iko na pombe safi safi, ma Jameson ndio zilikua za kujaza meza hio mtaa😂. At this point I had actually forgotten nilikua na mbogi fulani huko Rumors 😂lakini mi nilikua sorted
Kidogo nikapata dem wa kudance na yeye, alikua anaona ile table niko anajiambia cabron ako pesa😂.Alikua na mbogi yake fulani pia, mbogi iko na pesa.Dem nikamdanganya nilikua na macuzo wangu kwa hio table, akaingia box.kidogo akanishow nimpeleke akawashe fuaka, akachukua car keys
Alaa, kumbe mbogi yake ilikua mpaka na toy buana, maajabu. So tukashuka, tukaingia kwa whip, dem akawasha dunhill, kidogo sarakasi zimeanza, si mnajua ulevi na nyege ni twins😂.Uzuri clabu sijaifika bila tools 😂, tukaingia backseat, songesha kiti ya driver na co-driver mbele😂..
CBD, 4 AM, nikapiga quickie ingine matata 😂. Kumaliza nikaamua nipite Rumors nione progress ya mbogi yangu. Kuingia Rumors, nilipata macabron wamelala kama mboga ya jana😂, wueh. Tena madem wao wamewalalia ungedhani ni gunia za waru huko timau, aibu 😂.Nikawaambia tujitoe..
So 4:30 in the AM,tulikua stage ya Supermetro, majamaa wako sober ungedhani tunaenda daro ya seven, lakini mi nilikua maji, na nimegwara😂. Hao majamaa walikua wanadai mi ni mtiaji lakini tuongee ukweli, ningewasaidia aje na ngiri moja yawa? 😂.Starehe ni gharama, ama namna gani?
Long story short, birthday girl aliwashikisha battery na akaleft😂. Unalala kwa sofa za club ni kama hauna mattress bedsitter 😂. Huyo dem ilibidi akahama ploti, macabron hawakua wanadai kumuona 😂... ✒
Pressure ya kuomoka ni real, usijipate unajaribu kuonyesha mbogi umeomoka saana. Tulisema ishi kulingana na mfuko wako buana😂. Hio bash tungeeka bedsitter na kila cabron alete kakuota ingeweza sana, lakini dem alidai tuone ameomoka, nansenz 😂.
Ile kitu unafaa kuogopa kuliko wasichana, ni uji yenye inajifanya imepoa😂.

Friday 18th,next week, Instagram Live Question and Answer session with the broke Cabron himselefu. Link ya page yangu ndo hii, follow and wait for it https://www.instagram.com/p/CE5rTWLgwgx/?igshid=afexk3820ynm

Alafu eneza hii habari buana
I'll put up a poster that we can share too, mbogi ikuje yote, I'm sure some of you have burning questions, I'll answer all of them. By then Season 3 itakua imeisha, and I'll be talking about season 4 too, so let's make it a thing, September 18th, put the word out there💪.
Don't miss out on that Live alafu ukikam aibu uache umefungia kwa kabati.

Good day maniacs ✌.
You can follow @tonnie_wa_juja.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.