Nimesoma matweets kadhaa za worst experience kwa fifa lakini kusema ukweli haiwezi fikia yangu more or less
i also know english u know









THREAD












THREAD
So mimi nilikua niko pro at the time hapo second sem 1.1…
mi ndo nilikua naenda kwa kikao ya rende napiga wote looser pay na natoka nikitingisha haga
secret:nilikua najua kudefend joh
a milestone kwa fifa players all over




Kuna day flani tulihire ps at that time mimi na arif wangu Lickey na Eriko ndo tulikua tunatoa madoo na coz hatuezi cheza tourna ya watu watatu ikabidii tulete mafree loaders watatu
hadi sikujua walitoka wapi but nilikua sure nitawalipua kibeirut
.


Tulichukua screen na Fifa na pads kila mtu akibeba yake
mi na mambese yangh ndo nilipewa shughli ya kubeba hyo 64"TV yawa
. After tumshaiseti kwa keja tukaendea hao ma'recruits'. Majamaa hawakua na irie watu wapole na mmoja alikua fatso
WARNING mafat danks are a no go zone




After tumeshaseti kila settings tukaenda kuchagua teams
mi na upro wangu nikachagua Bayern team kubwa
some money was on the line u know…nilijua tu hapa nitarip big tulikua tumechanga kila mse so that was approximately 500 excluding ule fatnigga mwenye alisema hana doo.


Mi nikaanza torna wakwanza na Eriko
kama kawaida nikamrape
na kumwachia mouth odour ingine Moto hadi akacatch
.game ikaendelea smoothly
nikapatana na huyu fatnigga ,Longnius, jina kama ancestor akashika pad mi na ujuaji yangu nikaanza kumshow vile hana shit.





Nikaanza uradi zimeenda group of schools nilikua najua nitadinya mtu mbaya
expectations ni wild horses bro
they always turn down the master when not carefully meditated
bazenga na team yake ya Piedmonte hakua anaskia shit amenyamaza tu hapo akiniangalia na sardistic tone,





Walai mabazenga msiwai i repeat msiwai ongea dirt kabla upakwe matope
game ikaanza .…"this is martin tyler and allan Smith……"nikisema tu hivi najua dhidi huingia tu fifa tweeps
so mse akaanza kwa kuridisha ball smoothly akipass around
nikajua huyu ni noobie






Then boom bao ya kwanza within dakika ya tatu
morio ogopa
nikasema hapa hakuna tata nitareclaim tu
"…and there is another goal and what an a-maizing finish…"ingine
njeve ikanipata
bro sijawai shtuka hyo na bado dakika ya kumi haijaingia na tulikua tunacheza 5 minutes







Gaidi ukimwangalia anasmile tu kama wanjohi akichukua loan
nikaamua kukunja haga sasa
wazito karibu nipatwe na muscle pull ya matako
. Brejin dakika ya 60 mse ameshanisha mabao kumi
. Mi nikaanza kujitetea vile nilikua na stress joh
hapo ndo mbogi yako hukuruka







"….aii bro navilr ulikua unanyamba mabanter kabla mechi ianze
…"waa mnasemanga kudislocate oblangata
blood pressure ikaanza kupanda
nikireminisence vile mdenge wangu ataambiwa naskia kulia
.saizo nimeshika pad ikivibrate kma mse wa konyagi daily takers KDT






Dakika ya 80 mabao zimefika 12
na saizo sikafunga any
jasho ikaanza
morio na kujiteteta ilinidii
mi nikaanza the usual excuses za vile pad yangh ni mbaya and all that shit. Match ikadie 13-1hadi hyo bao ya mwisho fifa ilinionea tu nifunge





Nikakaa hpo nimesweat hadi uoga
Lickey akaanza "…kumbe pia we unaeza dinywa bro sikujua ona sasa umekunja haga Hadi toja imeenda launch 
…"waa hap nikajua nikubaya
nikasema ninaenda choo
huuo gaidi ikasema"…unaenda kudenki majukuu wa hzo mabao ama

…"









Warazi semeni frustrations
hyo wiki nzima nikaenda MIA
nigga alikam bure akajeza bure akashinda bure akalipwa doo zetu
waa hadi saizi naogopa kucheza na watu wamenyamaza kwa fifa
RETWEETS guyz
and like
mjue fifa si ya mtu joh




RETWEETS guyz




