Hadi Mwaka 1967 Raia wa Australia Waliokuwa Weusi, Wenye Asili ya Afrika Kisheria Hawakua Wakitambulika Kama Binadamu, Walitambulika Kama Wanyama. Sheria Hii iliitwa Flora and Fauna Act. Waziri Aliyeipigania iondolewe Alipotea, Hadi Leo Hajawahi Kuonekana. #UZI 👇👇
Sheria hii Kandamizi ya 'Flora and Fauna Act' ilikuwepo Nchini humo tangu Mwaka 1900 ambapo Ilikuwa inatafsiri kuwa Raia wote wa Nchi hiyo waliokuwa Weusi, Wenye asili ya Uafrika (Aboriginals), basi Kisheria Hawakutambulika kama ni Binadamu, Walitambulika kama Wanyama. 👇👇
Aboriginals ni Jamii ya Watu wa Australia (3℅) wenye ngozi Nyeusi, Ingekuwa Amerika tungewaita Black Americans. 👇👇
Linda Burney (62) ni Mwanamke mweusi Raia wa nchi hiyo, Yupo katika Bunge la Australia toka Mwaka 2003, Amewahi kuwa Waziri katika Serikali ya nchi hiyo 2007 -2011, Mwaka 2003 katika moja ya Hotuba zake Alisema kuwa katika Miaka 10 ya Mwanzo katika Maisha yake nae pia 👇👇
Hakuwa anatambulika kama Binadamu!, Kisheria Alikuwa ni Mnyama kama Katiba ilivyokua inasema. Mwaka wa 2018, mwigizaji wa filamu Nchini humo 'Shareena Clanton' (29) alidai kuwa Mama yake mzazi katika Maisha yake yote hakuwahi kutambuliwa kama ni Binadamu hadi kura ya maoni 👇👇
ilipopigwa na Wananchi Mwaka 1967 kupendekeza kama Sheria hii Kandamizi ifutwe au iendelee kuwepo. Kura ya maoni juu ya kuiondoa au Kutoiondoa Sheria hii Ilipigwa Mei 27, 1967 kwa Maagizo ya Waziri Mkuu 'Harold Holt' akisema kuwa Kura hizo zilikuwa juu ya Sheria ya Mabadiliko 👇
ya Katiba ambayo baada ya Wengi Kupiga kura kuwa iondolewe, ikafutwa rasmi Agosti 10, 1967.

HIVI NDIVYO ZOEZI LA UPIGAJI KURA LILIVYOKUWA KAMA SHERIA IFUTWE AU ISIFUTWE.👇👇
Waliojiandikisha Kupiga Kura: 6,182,585 (93℅).
Waliopiga Kura: 5,801,584 (100℅).
Kura za NDIO (ifutwe): 5,183,113 (90%).
Kura za HAPANA (isifutwe): 527,007 (9%).
Kura Zilizoharibika: 91,464 (1℅). 👇👇
Asilimia 90.7 ya kura zote zilizopigwa katika majimbo yote sita ziliitaka Sheria hii Ifutwe, Marekebisho haya ya Sheria yalihusisha kifungu cha 51 (xxvi)[3] na 127[4] kuwa Wa'Australia wenye Asili ya Kiafrika wataunganishwa na Kutambuliwa kama Binadamu. 👇👇
Waziri huyu Mkuu 'Harold Holt'
ndiye yule Aliyepotea Kimaajabu Disemba 17, 1967 kwa Kuzama majini akiwa katika Beach ya 'Cheviot' Australia Akiogelea. Licha ya Msako Mkali wa Majeshi ya nchi hiyo, lakini hadi leo Mwili wake haujawahi Kupatikana.

Follow @KaribuSanaMjini
You can follow @KaribuSanaMjini.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.