💨 WE CHAT APP YA CHINA INAYOISUMBUA WHATSAPP

✴️ Hapo China kuna kitu kinaitwa C2C yaani Copy2China.

✴️ Hii ni project ya China ya kunakili project zote kubwa zinazofanyika duniani.

✴️ Kilichofanyika kwenye WeChat ni zaidi ya kucopy
#FLowMaTaTa
✴️ WhatsApp ilianzishwa 2009 na Bw. Brian Marekani, Mark mmiliki wa Facebook akainunua.

✴️ Kule China hii WhatsApp ilifungiwa mapema, serikali ikiwa inaamini moja kwa moja inatumiwa na serikali ya Marekani kuspy taarifa za watu.

✴️ 2011 Kampuni ya TenCent
ambayo haitofautiani na Facebook akaanzisha hii app ya WeChat inayofanana moja kwa moja na WhatsApp.

✴️ Kwenye hizi karata ChaoKamaChao akalamba jocker.

✴️ WhatsApp ina watumiaji bilioni 1.5 ulimwenguni, WeChat ina watumiaji milioni 900+ ulimwenguni.

✴️ %kubwa inatumika China.
✴️ Wakati WhatsApp ikiwa na uwezo wa kutuma sms, picha, audio, video, status na kutengeneza magroup.

✴️ WeChat ina hivyo vyote hapo juu na wakaongezea vitu kama kufanya miamala ya kifedha ndani ya app yao.

✴️ Yaani hii app imekuwa msahada mkubwa kwa jamii ya watu wa uChina.
✴️ Watu wengi wanakutanishwa ndani ya hii app na kufanya biashara zao kwa upesi zaidi.

✴️ Njia zinazotumika kuamisha fedha ni WeChat Pay na AliPay.

✴️ AliPay ipo kama Visa na MasterCard.

✴️ Hii app inatoa pia huduma za usafiri kama Uber. Huwezi mueleza mchina kitu chochote
Akakuelewa kuhusu hii app.

✴️ Kuhusu masuala ya usalama mambo ni safi, maana hadi raia wa Marekani wanaitumia.

✴️ Serikali ya Marekani haijatoa tamko lolote la kuitilia shaka kama ilivyo kwa Huawei na TikTok (Uzi wake upo pending).

Kumbuka
✴️ WhatsApp pia wana app
Yao ya pembeni inayoitwa WhatsApp Business.

✴️ WeChat inapatikana kwenye Android, iOS na kwenye Windows.

✴️ WhatsApp, Telegram na WeChat sio mitandao ya kijamii.
✴️ China imeifungia WhatsApp lakini kuna watu baadhi waliopo China hutumia VPN kupumbaza mifumo ya China.

✴️ FLowMaTaTa zinakujuza kuwa; Kwa anayehitaji simu na Laptop kali awacheki hawa @BongosmartTz @BongosmartTz wapo smart sana🔥
You can follow @njiwaflow.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.