#UZI
#OURprivacyMATTER
PASSWORD/NYWILA:

Ulishafungua account ngapi kisa kusahau password??...

Tunashauriwa tutumie password zenye nguvu, ni zipi hizi zenye nguvu??

Password fupi, ndefu mara iwe na namba n.k...

JINSI AMBAVYO PASSWORD YAKO INAEZA KUIBWA ..
#OURprivacyMATTER














-Hakuna ambaye angependa kila kitu kiwe wazi kumuhusu yeye!!





-hapa tutazungumzia PASSWORD hasa katika....
.... account zetu.... hizo njia zingine tutakuja kuzicheki siku nyingne... tuombe uzima!
PASSWORD/NYWILA

Huu ni mtindo wa kuweka neno la siri katika account zetu ili zisiweze kutumika na watu wengine kwa nia mbaya!.. Neno hili la siri ndilo linathibitisha umiliki wa......



.... account zetu(wengi wetu tunafahamu hili)

Lakini kwa nini PASSWORD imekuwa haiaminiki tena(old fashioned)? Sababu ni hii, kwanza alama zote za uandishi (ikiwemo namba,herufi na alama zingine) zinafahamika na kompyuta! Kwa mantiki hii hakuna neno utaweka kwenye COMPUTER..


.. lisitambulike,

Wakali wa mathematics akina @mpambazi_ hapa hawawezi kunibishia, maana kuna kipart huko kinaitwa PROBABILITY ndani yake kuna vijipart vinaitwa PERMUTATION na COMBINATION!... Hapa ndipo utaweza kuona kwamba selection za herufi zina limit kwa idadi!
....








na WORLDPASSWORDCRACKING....

World password cracking hiki ni kifurushi cha all world possible passwords, ni kifurushi ambacho hacker hutumia kumatch password yako!... Sijui nimeeleweka hapo, kama hujanielewa hapo nitapitia coments!

Kinachofanyika ni kwamba hacker......




.. akishadowload hiko kifurushi,hapa password zinazokuja ni zile zinazokaribiana kufanana na ya kwako, anakwenda kuguesss password moja na kisha kumatch na yako, atajaribu hivyo mara kadhaa mpaka ikubali!.. na si unajua mtu akiwa na nia tena, ataipata tuu.. 
... Usiogope!








-Tunapofungua account kwa mara ya kwanza huwa tunakuwa commanded kutumia strong password!.... Na inatuelekeza kabisa kuwa hizo strong password inakuaje, tuchanganye changanye herufi, namba n.k.... changamoto inakuja kwenye kusahau ....
.... kutokana na uandikaji wa ovyo wa password bila mpangilio(kama hujanote mahali)...

Hizi ni njia ambazo ukitumia password yako itakuwa imara na isiyosahaulika
1.PASSPHRAES

Hi kwa jina lingine inajulikana kama pass sentences, hii ni pale unapoamua kuweka password kama


1.PASSPHRAES


.. stori fupi ambayo huwezi kuisahau maishani mwako, mfano; "NIMEOA SIKU AMBAYO NIMEPATA KAZI" halafu katika sentensi hio unachagua neno moja kulichanganyachanganya unavyojua wewe!... Na urefu wa hio stori utegemee na limit ya maneno uliyowekewa!...

Aina hii ya password ni..


....imara, ngumu kusahau pia kwa hacker atatumia nguvu nyingi sana kuipata!... Si rahisi, atatafuta mpaka atasurrender
...
2.PASSWORD MANAGER

Kwa kuwa tuna account tofauti tofauti ambapo inatulazimu kutumia password zaidi ya moja tunashauriwa kutumia PASSWORD MANAGER!

2.PASSWORD MANAGER




USALAMA:
a)Haina access na mtandao, maana ili uibiwe lazima kuwe na access ya mtandao!
b)Utakariri password moja tu.
3.MULTFACTOR AUTHENTICATION (MFA)

Hii ni njia ya ku-log in kwa kutumia njia tofauti, mfano; biometrics,cards n.k!... tumezoea ku-log in kwa EMAIL/NUMBER, PASSWORD na TXT inayotumwa kwenye simu yako kupitia hiyo email/number, hii inaitwa TWO FACTOR AUTHENTICATION(TFA)!...







SPREAD AWARENESS, SHOW YOU LOVE



@ManenoIzaak @ITexpertTz @razaqdm01 @niealda @TOTTechs @Kamigakikumbise @MiriamMkanaka @Unknown_zon